MRADI WA SAN MARKO ULIOKO NGOMENI KAUNTI YA KILIFI KUBORESHA UHUSIANO MWEMA BAINA YA KENYA NA ITALIA
Serikali kuu imesema ipo haja ya wakenya kunufaika na mradi wa serikali ya Italia wa San Marko, ulioko katika eneo la Ngomeni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kulingana na Waziri wa ulinzi nchini Aden Duale, licha ya mradi huo kuboresha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili, juhudi zaidi zinapaswa kuwekwa ili kuhakikisha wanafunzi […]



