Janet Mumbi

HISIA MBALIMBALI ZAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI MJINI MALINDI KUHUSU MAANDAMANO

Baadhi ya viongozi wa kidini mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamepinga maandamano ambayo muungano wa Azimio la Umoja One Kenya unapania kuandaa siku ya Jumatatu wiki ijayo, ili kupinga uongozi wa rais William Samoei Ruto. Wakiongozwa na Askofu wa kanisa la JCC Malindi kaunti ya Kilifi Thomas Tsuma Kakhala, ametoa wito kwa viongozi hao kutafuta […]

HISIA MBALIMBALI ZAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI MJINI MALINDI KUHUSU MAANDAMANO Read More »

GAVANA ANDREW MWADIME AWEKA MIKAKATI KUWAKABILI WAFANYIKAZI HEWA TAITA TAVETA

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inaendelea kufanya ukaguzi kwa madereva wanaofanya kazi katika kaunti hiyo kwa minajili ya kujua idadi yao kamili jambo litakalowezesha serikali hiyo kuwatambua wafanyikazi hewa. Akizungumza kabla ya kuanzishwa kwa ukaguzi huo ambao haukufanyika tu kwa madereva lakini pia idadi kamili ya magari yanayomilikiwa na kaunti, gavana wa Taita Taveta

GAVANA ANDREW MWADIME AWEKA MIKAKATI KUWAKABILI WAFANYIKAZI HEWA TAITA TAVETA Read More »

AMINA MNYAZI AWATAKA WAKENYA KUENDELEA KUPINGA UHALALISHAJI WA MAPENZI YA WATU WA JINSIA MOJA

Mbuge wa Malindi kauntI ya Kilifi Amina Mnyazi amesema anapinga mapenzi ya watu wa jinsia moja nchini. Akizungumza bungeni alipokuwa akichangia muswada ambao ulikuwa umewasilishwa bungeni kupinga uhalalishaji wa Ushoga na Usagaji nchini, Mnyazi amesema mila na tamaduni za kiafrika, dini na katiba ya nchi haziruhusu Mapenzi ya jinsia Moja na ni suala ambalo linapaswa

AMINA MNYAZI AWATAKA WAKENYA KUENDELEA KUPINGA UHALALISHAJI WA MAPENZI YA WATU WA JINSIA MOJA Read More »