MKUTANO WA MAOMBI KUANDALIWA KESHO KWENYE UWANJA WA ALASKAN MJINI MALINDI
Himizo linaendelea kutolewa kwa vijana kaunti ya Kilifi na nchini Kote kuzidi kumtumikia mwenyezi Mungu na pia kuhudhuria ibada kanisani ili kuepukana na mambo ambayo, huenda yakawashawishi kupotoka kimaadili. Akizungumza na Lulu Fm Mchungaji wa kanisa la Life Church International Malindi kaunti ya Kilifi Daniel Nga’ang’a, maarufu kama Danny Gift amesema vijana wengi hawaendi kanisani […]
MKUTANO WA MAOMBI KUANDALIWA KESHO KWENYE UWANJA WA ALASKAN MJINI MALINDI Read More »



