Janet Mumbi

FIKIRINI JACOBS ATEULIWA NA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI

Kiongozi wa vijana katika chama cha ODM kaunti ya Kilifi, Fikirini Jacobs ameteuliwa na serikali ya kaunti ya Kilifi, katika nafasi ya mkurugenzi wa kitengo cha kuangazia utekelezwaji wa miradi ya serikali ya kaunti hii ya Kilifi. Akizungumza wakati uteuzi huo gavana wa kaunti ya Kilifi, Gideon Maitha Mung’aro amesema kuwa bado wataendeleza uteuzi wa […]

FIKIRINI JACOBS ATEULIWA NA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI Read More »

MUUNGANO WA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI WAMTAKA RAIS RUTO KUFANYA MASHAURIANO NA RAILA ODINGA

Muungano wa maaskofu wa kanisa katoliki sasa unamtaka Rais William Ruto na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kufanya mashauriano na kuzima tofauti za kisiasa humu nchini. Askofu Philip Anyolu ambaye ni askofu mkuu wa jimbo la Nairobi anasema kuwa joto la kisiasa lililopo nchini linahatarisha amani na kuibua taharuki katika maeneo mengi nchini. Wakati huo

MUUNGANO WA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI WAMTAKA RAIS RUTO KUFANYA MASHAURIANO NA RAILA ODINGA Read More »