Janet Mumbi

MOHAMED FAKI ATOA WITO KWA SERIKALI KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA VISA VYA WATU KUULIWA KIHOLELA

Seneta wa kaunti ya Mombasa Mohamed Faki ametoa wito kwa serikali kuu kuunda jopo ambalo litachunguza visa vya watu kuuliwa kiholela na wengine kupotea katika hali tatanishi ili hatua za kisheri dhidi ya wahusika. Amependekeza uongozi wa jopo hilo liwe mikononi mwa maafisa ambao hawako kwenye idara ya usalama ili waathiriwa wa mauaji hayo wapate […]

MOHAMED FAKI ATOA WITO KWA SERIKALI KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA VISA VYA WATU KUULIWA KIHOLELA Read More »

KESI ZA KUNAJISIWA WA WATOTO KATI YA UMRI WA MIAKA 16 HADI 18 ZIMERIPOTIWA KWENYE MAHAKAMA YA KILIFI

Hakimu mkaazi mwandamizi katika mahakama ya Kilifi kaunti ya Kilifi Daniel Sitati Sifuma, amesema kesi za kunajisiwa kwa watoto kati ya umri wa miaka 16 hadi 18 zimeripotiwa katika mahakama hiyo kinyume na hapo awali ambapo kesi nyingi zilihusisha watoto wenye umri wa chini ya miaka 10. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa siku ya kuanza

KESI ZA KUNAJISIWA WA WATOTO KATI YA UMRI WA MIAKA 16 HADI 18 ZIMERIPOTIWA KWENYE MAHAKAMA YA KILIFI Read More »

SEPP BLATTER AKIRI MAKOSA YA KUIPA QATAR NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA

Aliyekuwa rais wa shirikisho la soka dunia fifa, Sepp Blatter amekiri kwamba maamuzi ya kamati kuu ya fifa kuipa Qatar nafasi ya kuandaa mashindano ya kombe la dunia ilikuwa makosa. Kamati hiyo mwaka wa 2010 ilipigia kura Qatar kushinda nafasi hyo kwa kura 14-8 ambapo taifa la marekani lilikuwa linangangania nafasi hiyo. Amemlaumu Michael Plattini

SEPP BLATTER AKIRI MAKOSA YA KUIPA QATAR NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA Read More »