Paps Mkare

EDISON CAVANI NA LUIS SUAREZ KUCHEZA KWA MARA YA MWISHO KOMBE LA DUNIA

Zimesalia siku 11 kabla ya mashindano ya kombe la dunia kuanza rasmi nchini Qatar na sawa na nyota wa Argentina Leonel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo wa Ureno kucheza mashindano yao ya mwisho kwenye kombe la dunia mwaka huu, straika wa Uriguay Luiz Suarez pamoja na mwezake Edison Cavani msimu huu watakuwa wanacheza kipute hicho

EDISON CAVANI NA LUIS SUAREZ KUCHEZA KWA MARA YA MWISHO KOMBE LA DUNIA Read More »