TUSKER FC YAPATA PIGO, USHINDI WAO UMEBATILISHWA
Klabu ya Tusker fc inayoongozwa na mkufunzi Robert Matano imepata pigo kubwa baada ya kamati kuu ya shirikisho la soka la fkf hapo kuufutilia mbali msimu uliopita, msimu ambao kwa awamu ya pili iliongozwa na kamati ya mpito ambayo kulingana na fkf haukuwa halali. Katika chapisho iliyotiwa sahihi na mkurugenzi mkuu wa fkf Barry Otieno […]
TUSKER FC YAPATA PIGO, USHINDI WAO UMEBATILISHWA Read More »



