JAPAN YAIZAMISHA UJERUMANI QATAR KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA
Mashindano ya kombe la dunia yanazidi kushangaza wengi na ukistaajabu ya Argentina kupigwa na Saudi Arabia jana meche nyingine ni ya leo ya Ujerumani na Japan ambayo imetamatika kwa Ujerumani kutandikwa kichapo cha mabao 2-1 na Japan mtanange ambao umechezwa katika dimba la Khalifa stadium katikati mwa jiji la doha. Ikay Gundogan yule wa Manchester […]
JAPAN YAIZAMISHA UJERUMANI QATAR KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »


