MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA
Jaji mkuu wa Mahakama ya Ardhi na Mazingira Dkt. Millicent Odeny amesema maeneo bunge ya Kilifi Kaskazini na Kilifi Kusini kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa yale yanayokumbwa na uskwota kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika kikao na wanahabari mjini Kilifi kaunti ya Kilifi Odeny amesema wakati umefika kwa serikali ya kaunti ya Kilifi kushughulikia swala […]
MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA Read More »



