WAHUDUMU WA AFYA WA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKA
Wahudumu wa afya wa nyanjani kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa Serikali ya kaunti ya Kilifi na idara ya afya kwa jumla kuwatambua katika utendakazi wao wanaofanyia jamii. Wakiongozwa na Michael Ruwa almaarufu Kadzaya Wanadai kutotambuliwa na serikali ya kaunti ya Kilifi pamoja na wahudumu wa afya katika hospitali za kaunti ya Kilifi hususan hospitali […]
WAHUDUMU WA AFYA WA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKA Read More »



