Janet Mumbi

SHEREHE ZA KUONYESHA UTAMADUNI KISIWANI LAMU ZIMEINGIA SIKU YA PILI LEO

Sherehe za kuonyesha utamaduni kisiwani Lamu zinaendelea huku maonyesho mbalimbali yakipangiwa kwenye sherehe hizi za kila mwaka. Hii ni mara ya kwanza kwa sherehe hizi kufanyika kwa muda wa miaka mitatu baada ya kuathirika kutokana na tandavu ya corona. zaidi ya wageni elfu 30 tayari wamewasili katika kaunti hiyo ya Lamu huku wakaazi wakisema kuwa […]

SHEREHE ZA KUONYESHA UTAMADUNI KISIWANI LAMU ZIMEINGIA SIKU YA PILI LEO Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YABUNI KITENGO MAALUM CHA KUFUATILIA SHUGHULI ZOTE ZA MIRADI YA KAUNTI

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro ameseme wamebuni kitengo maalum ambacho kitakuwa kikifuatilia shughuli zote za miradi ya kaunti ya Kilifi ili kuhakisha inatekelezwa kama ilivyokuwa imeratibiwa. Kulingana na Mung’aro ni kitengo ambacho kitasaidia katika kukabiliana na visa vya ufisadi kwenye miradi ambayo inafanywa na serikali ya kaunti ya Kilifi. Ametaja visa hivyo kuwa

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YABUNI KITENGO MAALUM CHA KUFUATILIA SHUGHULI ZOTE ZA MIRADI YA KAUNTI Read More »

GAVANA DHADHO GODHANA ATAKIWA KUWASILISHA MAJINA YA MAWAZIRI WATEULE

Mwakilishi wa wadi ya Garsen ya Kati kaunti ya Tana River Masha Boru amemtaka gavana wa kaunti hiyo Dhadho Godhana kuwasilisha orodha mpya ya majina ya mawaziri wateule baada ya mawaziri watatu waliopendekezwa na gavana huyo kukosa kuidhinishwa na bunge la kaunti ya Tana River. Boru ambaye aliwahi kuhudumu kama kiongozi wa wengi kwenye bunge

GAVANA DHADHO GODHANA ATAKIWA KUWASILISHA MAJINA YA MAWAZIRI WATEULE Read More »