lulufm

ABDI CHOME ATISHIA KUWASILISHA MALALAMISHI KWA SERIKALI YA UINGEREZA

Mbunge wa Voi kaunti ya Taita Taveta Abdi Chome watawasilisha malalamishi yao kwa serikali ya Uingereza kuhusu kupata fidia kutokana na athari ya vita ya kwanza ya dunia. Kwa mujibu wa Mbunge huyo vita hiyo iliathiri pakubwa kuongezeka kwa jamii ya Wataita na Wataveta na pia kuathiri shughuli za kilimo kwa asilimia kubwa. Kauli yake

ABDI CHOME ATISHIA KUWASILISHA MALALAMISHI KWA SERIKALI YA UINGEREZA Read More »

SOIPAN TUYA ASEMA WANAPANIA KUANZISHA MIKAKATI YA KUWEKA SHERIA YA KUIMARISHA UUZAJI WA HEWA KAA KIMATAIFA

Waziri wa mazingira na misitu nchini Soipan Tuya amesema kuwa wanapania kuanzisha mikakati ya kuweka sheria ya kuhakikisha uuzaji wa hewa kaa (CARBON CREDIT) kwa mataifa ya nje inawanufaisha zaidi watunzaji wa mazingira zaidi nchini Kenya. Akizungumza kwenye kijiji cha Makongeni na Gazi eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale Tuya amesema kwa sasa hakuna

SOIPAN TUYA ASEMA WANAPANIA KUANZISHA MIKAKATI YA KUWEKA SHERIA YA KUIMARISHA UUZAJI WA HEWA KAA KIMATAIFA Read More »