Janet Mumbi

SENETA MTEULE KAUNTI YA MOMBASA AWAHIMIZA WENYEJI KUPANDA MITI KWA WINGI

Seneta mteule kaunti ya Mombasa Miraj Abdillahi ametoa wito kwa wenyeji wa kaunti hiyo kupanda miti kwa wingi ili kulinda mazingira pamoja na kuzuia kushuhudiwa kwa hali ya ukame miaka ijayo. Miraj amesema mpango huo ambao ulianzishwa na rais William Samoei Ruto unapaswa kuungwa mkono na kuendelezwa ili kudhibiti taifa hili dhidi ya kukabiliwa na […]

SENETA MTEULE KAUNTI YA MOMBASA AWAHIMIZA WENYEJI KUPANDA MITI KWA WINGI Read More »

KAMWANAFUNZI 28 WA DARASA LA 6 KUTOKA MAENEO YA BONI WAPELEKWA KWENYE SHULE YA UPILI YA FAZA

Kamishna wa kaunti ya Lamu Irungu Macharia amesema wamelazimika kuwahamisha wanafunzi 28 wa darasa la 6 kutoka maeneo ya Boni kwa kutumia ndege ya kijeshi hadi kwenye shule ya upili ya Faza ili kufanyia mtihani wao wa KPSEA shuleni humo. Macharia amesema kwa ushirikiano na wizara ya usalama wameweka mikakati thabiti kuhakikisha wanakabiliana na masuala

KAMWANAFUNZI 28 WA DARASA LA 6 KUTOKA MAENEO YA BONI WAPELEKWA KWENYE SHULE YA UPILI YA FAZA Read More »

VIONGOZI WA MUUNGANO WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA PWANI WALALAMIKIA UKOSEFU WA USALAMA

Viongozi wa muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi kaunti ya Kilifi, wamelalamikia ukosefu wa usalama ndani ya chuo hicho na katika baadhi ya maeneo ya mjini Kilifi. Kulingana na viongozi hao wakiongozwa na Kelvin Nyambura pamoja na Riziki Mohammed Yusuf anayehusika na masuala ya jinsia na maslahi ya wanafunzi katika chuo

VIONGOZI WA MUUNGANO WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA PWANI WALALAMIKIA UKOSEFU WA USALAMA Read More »