lulufm

WIZARA YA USALAMA KAUNTI YA KWALE KUWAKABILI WALANGUZI WA DAWA ZA KULEVYA

Kamishna wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi amesema idara ya usalama kwenye kaunti hiyo inaendelea kuweka juhudi ili kuwakabili walanguzi wa dawa za kulevya kaunti ya Kwale. Akizungumza kwenye kaunti hiyo Oyagi amewataka Wazazi kushirikiana na asasi za usalama na taasisi zingine za serikali ili kufanikisha hilo. Kwa mujibu wa Oyagi iwapo wazazi watajukumika ipasavyo

WIZARA YA USALAMA KAUNTI YA KWALE KUWAKABILI WALANGUZI WA DAWA ZA KULEVYA Read More »

NAIBU KAMISHNA WA ENEO BUNGE LA MAGARINI AWAONYWA WANAOPANIA KUJIHUSISHA NA VISA VYA UDANGANYIFU WA MITIHANI YA KITAIFA

Naibu kamishna wa Magarini kaunti ya Kilifi Peter Thiong’o amewaonya wale ambao wanapania kujihusisha na visa vya udanganyifu kwenye mtihani wa kitaifa wa Gredi ya 6 na darasa la 8 ambao umeang’oa nanga leo Jumatatu. Kwa mujibu wa Thiong’o mikakati thabiti imewekwa na asasi za usalama kuhakikisha hakuna visa vya udanganyifu ambavyo vinashuhudiwa wakati wa

NAIBU KAMISHNA WA ENEO BUNGE LA MAGARINI AWAONYWA WANAOPANIA KUJIHUSISHA NA VISA VYA UDANGANYIFU WA MITIHANI YA KITAIFA Read More »