WAZAZI MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA WALINDA WATOTO WAO
Wazazi wametakiwa kuwalinda watoto wao dhidi ya kujihusisha na mambo maovu wanapokuwa kwenye likizo ndefu ya mwezi wa Disemba. Haya ni kulingana na chifu wa eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Nicodemus Mwayele ambaye amesema watoto wengi, hutumika katika shughuli za ulanguzi wa mihadarati hasa msimu huu wanapokuwa majumbani. Amesema kila mzazi anapaswa kuhakikisha anafahamu […]
WAZAZI MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA WALINDA WATOTO WAO Read More »



