Paps Mkare

ANGELLA OKUTOYI KUSHINDANISHWA NA MABINGWA WA RIADHA

Kinda wa kimataifa katika mchezo wa tenisi mwite Angella Okutoyi ameorodheswa kati ya wanariadha watakao ngangania taji la mchezaji bora wa mwaka wa kenya, tuzo zitakazofanyika mwezi januari mwaka 2023. Hafla hiyo itafanyika katika kaunti ya Nairobi na makala ya mwaka huu yanahusisha pia kitengo cha wachezaji ambao bado ni wanafunzi baada ya kitengo hicho […]

ANGELLA OKUTOYI KUSHINDANISHWA NA MABINGWA WA RIADHA Read More »

MUUNGANO WA RAGA KRU WALALAMA UKATA WA FEDHA

Mkurugenzi mkuu wa mungano wa raga nchini Aggrey Wabulwenyi anasema muungano huo unakumbwa na changamoto ya kifedha kutokana na kutopata hela za kutosha kutoka kwa serikali kuu kufadhili masuala ya raga nchini. Akizungumza na kituo kimoja cha habari hapo jana, Wabulwenyi alisema jana la virusi vya Covid 19 liliwaathiri pakubwa ikizingatiwa kwamba wawekezaji pamoja na

MUUNGANO WA RAGA KRU WALALAMA UKATA WA FEDHA Read More »

WAZIRI WA UTALII NCHINI PENINA MALONZA AMEAHIDI KUIMARISHA SEKTA KIVUTIO CHA UTALII CHA FORT – JESUS

Waziri wa utalii nchini Penina Malonza ameahidi serikali kuu itahakikisha inaimarisha kivutio cha watalii cha Fort – Jesus sambamba na maeneo mengine ya kitalii yaliyoko kaunti ya Mombasa. Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari baada ya kufanya ziara kwenye vituo mbalimbali vya kitalii kaunti ya Mombasa, Malonza amesema hatua hiyo itasaidia kuwavutia watalii zaidi

WAZIRI WA UTALII NCHINI PENINA MALONZA AMEAHIDI KUIMARISHA SEKTA KIVUTIO CHA UTALII CHA FORT – JESUS Read More »