Janet Mumbi

WANAHARAKATI WA KIMAENDELEO KAUNTI YA KILIFI WAIPONGEZA MAHAKAMA

Baadhi ya wanaharakati wa kimaendeleo katika shirika la kijamii la Kilifi Citizen Forum katika eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi, wamepongeza hatua ya mahakama kubatilisha uamuzi wa serikali kuu, kuagiza mbegu za vyakula vya kisaki yaani GMO. Kwa mujibu wa wanaharakati hao serikali ya Kenya Kwanza, ilikiuka katiba kwani ili kosa kuwahusisha wananchi, katika […]

WANAHARAKATI WA KIMAENDELEO KAUNTI YA KILIFI WAIPONGEZA MAHAKAMA Read More »

HAMASA ZAZIDI KUTOLEWA KUHUSU NAMNA YA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA KUDHULUMIWA TANA RIVER

Hamasa zimezidi kutolewa kwa jamii hasa kwa watoto katika kaunti ya Tana River kuhusu mbinu za kupiga ripoti wakati wanapodhulumiwa kama vile kingono. Mwendesha mashtaka katika mahakama ya Garsen kaunti ndogo ya Tana Delta Kaunti ya Tana River Ben Kandie ameongoza zoezi la kutoa hamasa hizo kwa makundi ya watoto eneo hilo. Kandie amewashinikiza watoto

HAMASA ZAZIDI KUTOLEWA KUHUSU NAMNA YA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA KUDHULUMIWA TANA RIVER Read More »

MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mashindano ya kombe la dunia kule Qatar sasa yamefikia katika hatua za mwisho mwisho katika hatua za makundi na kufikia sasa ni mataifa matano yamejihakikishia nafasi yao katika hatua ya 16. Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi washafuzu katika 16 sawa na Samba Boys ambao ni timu ya taifa ya Brazil waliojihakikishia nafasi yao baada ya

MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA Read More »