Janet Mumbi

IDADI YA WANYAMAPORI KWENYE MBUGA YA WANYAMAPORI KWENYE MBUGA YA SHIMBA HILLS KAUNTI YA KWALE YADAIWA KUPUNGUA

Idadi ya wanyamapori katika mbuga ya Shimba Hills kaunti ya Kwale inadaiwa kupungua kutokana na ongezeko la visa vya uwindaji haramu. Afisa msaidizi wa shirika la wanyamapori nchini (KWS) kaunti hiyo Gilbert Njeru amesisitiza haja ya kuimarishwa kwa usalama wa wanyamapori katika mbuga hiyo ili kukabiliana na changamoto hiyo.  Akizungumza mjini Kwale, Njeru amesema kupungua […]

IDADI YA WANYAMAPORI KWENYE MBUGA YA WANYAMAPORI KWENYE MBUGA YA SHIMBA HILLS KAUNTI YA KWALE YADAIWA KUPUNGUA Read More »

MAAFISA TAWALA ENEO LA VOI WATATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAZAZI PAMOJA NA MAAFISA WA USALAMA

Maafisa tawala kaunti ndogo ya Voi, kaunti ya Taita Taveta wamesisitiza haja ya ushirikiano baina ya wazazi na asasi za usalama kwa minajili ya kukabiliana na utumizi wa mihadarati katika eneo hilo. Wakiongozwa na Delphine Mwazo maafisa hao tawala wamesema vijana wengi wanaendelea kuangamia kupitia utumizi wa dawa kulevya huku ongezeko la utumizi ya mihadarati

MAAFISA TAWALA ENEO LA VOI WATATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAZAZI PAMOJA NA MAAFISA WA USALAMA Read More »

SERIKALI YA MOMBASA KUANZISHA MRADI WA KAZI MTAANI

Serikali ya kaunti ya Mombasa inapanga kuanzisha mradi wa kazi mtaani kwa vijana msimu huu wa likizo ya disemba mradi ambao ulikuwa ukifanywa na serikali kuu. Ni mswada ambao ulipendekezwa na kupitishwa bungeni na wawakilishi wa wadi katika bunge la kaunti ya Mombasa juma lililopita. Akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amepongeza mswada

SERIKALI YA MOMBASA KUANZISHA MRADI WA KAZI MTAANI Read More »