Janet Mumbi

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO ATAKIWA NA MASKWOTA WA SABAKI KUTIMIZA AHADI ALIZOTOA

Maskwota katika eneo la Sabaki kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi sasa wanamtaka rais William Samoei Ruto kutimiza ahadi zake alizotoae wakati wa kampeni ili kuhakikisha tatizo la uskwota linapata utatuzi. Maskwota hao wamesema ni wakati sasa kwa rais kutimiza ahadi yake ya kampeni ya kununua ekari milioni moja ya ardhi kama mbinu za […]

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO ATAKIWA NA MASKWOTA WA SABAKI KUTIMIZA AHADI ALIZOTOA Read More »

WAHUDUMU WA AFYA WA NYANJANI KUANZA KUPOKEA MSHAHARA

Mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana nchini ambaye pia ni gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki ameahidi kuwa wahudumu wa afya wa nyanjani wataanza kupokea mshahara kama njia mojawapo ya kuthamini kazi wanazofanya mashinani katika kuwahudumia wananchi. Akizungumza katika eneo la Diani kaunti ya Kwale Muthomi ameahidi kushirikiana na serikali kuu kuhakikisha

WAHUDUMU WA AFYA WA NYANJANI KUANZA KUPOKEA MSHAHARA Read More »