RAILA ODINGA ANGALI ANASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUANDAA MAANDAMANO
Kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameshikilia kuwa jumatano ya wiki hii itakuwa siku ya kuweka wazi mambo yaliyofanyika katika uchaguzi wa Agosti 9 mwaka huu. Akizungumza katika mtaa wa utawala kwenye kampeni za chaguzi ndogo za uwakilishi wadi, Raila amehoji kuwa ni sharti serikali ya Kenya kwanza iwekewe vidhibiti. Raila amesema […]
RAILA ODINGA ANGALI ANASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUANDAA MAANDAMANO Read More »



