Janet Mumbi

GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AWATAKA VIONGOZI WA KAUNTI HIYO KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Sharrif Nassir amewataka viongozi kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana kwa manufaa ya kizazi cha baadae. Gavana huyo amewataka kuendelea kuhubiri amani na umoja, kila wanapopanda kwenye majukwaa na kukoma kuleta migawanyiko, ambayo baadae huleta mihemko na hatimaye wengine kuchuku hatua zisizo na manufaa kwa jamii Kwa upande […]

GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AWATAKA VIONGOZI WA KAUNTI HIYO KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA Read More »

MUUNGANO WA WANAHABARI UMEANZISHA MRADI WA KUHAMASISHA WAANDISHI WA HABARI

Muungano wa wanahabari nchini Kenya Correspondents Association(KCA), umeanzisha mradi wa kuhamasisha waandishi wa Habari katika kaunti mbalimbali nchini, kuhusu jinsi yakukabiliana na Habari gushi hususan zinazoenezwa mitandaoni. Hatua hii inajiri baada ya ripoti iliyotolewa na shirika linaloshughulikia wanahabari kifungu 19, kuonyesha kuwa asilimia 75 ya wakenya hawawezi kubainisha iwapo, Habari ni sahihi ama ni ghushi.

MUUNGANO WA WANAHABARI UMEANZISHA MRADI WA KUHAMASISHA WAANDISHI WA HABARI Read More »

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi anatarajiwa kumwakilisha rais William Ruto kwenye mkutano muhimu nchini Uingereza kuanzia hii leo. Kulingana na afisi yake Mudavadi ameondoka nchini hapo jana akielekea Uingereza kuhudhuria mkutano wa kibiashara la mataifa wanachama wa jumuiya ya madola yani common wealth trade and investment summit. Ni mkutano ulioandaliwa na baraza la kibiashara

Read More »