Janet Mumbi

GAVANA WA KWALE AWATAKA MAAFISA WA POLISI KUTOINGILIA MASWALA YA ARDHI ENEO LA SHIMONI

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewataka maafisa wa polisi kwenye kaunti hiyo kutoingilia maswala ya umiliki wa ardhi eneo la Shimoni. Akizngumza katika eneo hilo, Achani anadai baadhi ya maafisa hao wamekuwa wakitumiwa visivyo na mabwenyenye kuwadhulumu wenyeji mashamba yao. Gavana huyo amemtaka kamishna wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi kuhakikisha maafisa wake hawajihusishi na […]

GAVANA WA KWALE AWATAKA MAAFISA WA POLISI KUTOINGILIA MASWALA YA ARDHI ENEO LA SHIMONI Read More »

SHEREHE ZA UTAMADUNI KISIWANI LAMU KUANZA WIKII HII

Sherehe za utamaduni kaunti ya Lamu zinatarajiwa kuanza juma hili katika kisiwa cha Amu. Sherehe hizo ni kubwa zaidi kuwahi kufanyika tangu kuanza kuadhimishwa miaka ishirini iliyopita. Kulingana na katibu wa serikali ya kaunti ya Lamu Ali Abbas zaidi ya wageni elfu 30 wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hizo. Abbas amesema wamejumuisha makabila yote kwenye kaunti hiyo

SHEREHE ZA UTAMADUNI KISIWANI LAMU KUANZA WIKII HII Read More »

SERIKALI KUU NA YA KAUNTI YA KILIFI ZAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA VISA VYA MIMBA ZA UTOTONI

Serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na ya kaunti ya Kilifi zimeweka mikakati katika kuhakikisha zinakabiliana na visa vya mimba za utotoni katika kaunti ya Kilifi. Haya ni kulingana na waziri wa Umma na jinsia nchini Aisha Jumwa, ambaye amewataka wadau mbalimbali katika idara ya usalama kaunti ya Kilifi kushirikiana katika kuwakabili wale wanaoripotiwa kutekeleza visa

SERIKALI KUU NA YA KAUNTI YA KILIFI ZAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA VISA VYA MIMBA ZA UTOTONI Read More »