FAMAU MOHAMMED FAMAU AMPONGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO
Mwanaharakati wa kukabiliana na utumizi wa mihadarati kaunti ya Kilifi Famau Mohammed Famau amempongeza Rais William Samoei Ruto kwa kile anachokisema ameimarisha mikakati ya kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya eneo la Pwani na taifa la Kenya kwa jumla. Kulingana na Famau eneo la Pwani, ndilo lililoathirika zaidi na ulanguzi na hata utumizi wa […]
FAMAU MOHAMMED FAMAU AMPONGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »



