BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA KILIFI RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO
Baadhi ya viongozi wa serikali ya kaunti ya Kilifi wamempongeza rais William Samoei Ruto, kwa kuwachagua baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kilifi na Pwani kwa jumla katika baraza lake la mawaziri nchini. Kwa mujibu wa viongozi hao hatua ya Rais kumchangua Aisha Jumwa kuwa waziri wa Umma na Jinsia nchini ni suala la wapwani […]
BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA KILIFI RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »



