RAILA ODINGA APUZILIA MBALI MGOGORO UNAOKUMA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA
Kinara wa azimio la umoja one kenya Raila Odinga amepuuzilia mbali mgogoro wa kisiasa unaokumba azimio la umoja kwa sasa huku akiwataka viongozi wa vyama tanzu kwenye muungano huo kujadili maswala ibuka wiki hii. Kwa mujibu wa Raila, cheche za maneno baina ya viongozi katika muungano huo wa azimio la umoja hazisaidii kustawisha upinzani huku […]
RAILA ODINGA APUZILIA MBALI MGOGORO UNAOKUMA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA Read More »



