Paps Mkare

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Newcastle United mwite Eddie Howe amesema madai ya kwamba sajili mpya ya Al Nasr Christiano Ronaldo ameweka kipendele cha kurudi uingereza na kuchezea Newcastle iwapo itafuzu kuingia mashindano ya Uefa Champions league msimu ujao ni porojo tupu na hayana ukweli wowote. Ronaldo alitambulishwa rasmi jana kwa mashabiki wa Al Nassr

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE Read More »

VILABU VYA MASHINANI VYAONYWA ‘KUTONUNUA’ WACHEZAJI MAGARINI

Uongozi wa soka la mashinani kwenye eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi umewaonya vilali vilabu vilivyosajiliwa na shirikisho la tawi hilo kutotumia wachezaji kutoka maeneo bunge mengine na wanaochezea ligi tofauti katika mashindano yoyote yanayosimamiwa na shirikisho la fkf Magarini. Katika waraka uliochapishwa mitandaoni na katibu wa soka Emmanuel Kazungu umeibua madai kwamba klabu

VILABU VYA MASHINANI VYAONYWA ‘KUTONUNUA’ WACHEZAJI MAGARINI Read More »