MAAFISA WA KWS NA WENYEJI WA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUKABILIANA NA UHASAMA WA MARA KWA MARA
Wito wa ushirikiano umetolewa baina ya maafisa wa shirika la huduma kwa wanyamapori KWS na wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta kwa minajili ya kukabiliana na uhasama wa mara kwa mara kati ya wakaazi na wanyamapori. Kwa mujibu wa wakaazi wa maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo wakiwemo wale wa Kishushe, kaunti ndogo ya Wundanyi wamesema […]



