Janet Mumbi

OUSMAN GALOLE AITAKA BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER KUFANYIA MAREKEBISHO MUSWADA WA GOVERNORS SCHOLARSHIP

Spika wa bunge la kaunti ya Tana River Ousman Galole ametoa wito kwa bunge la kaunti hiyo kufanyia marekebisho muswada wa GOVERNORS SCHOLARSHIP unaolenga kuwafadhili wanafunzi ambao wanatoka kwenye familia ambazo hazina uwezo wa kifedha. Katika taarifa yake kwa wenyeji akiwa kwenye kaunti hiyo ya Tana River, amesema bunge la kaunti ya Tana River linafaa […]

OUSMAN GALOLE AITAKA BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER KUFANYIA MAREKEBISHO MUSWADA WA GOVERNORS SCHOLARSHIP Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA BARABARA ENEO LA RAMADA – KAOYENI

Mwanaharakati wa kimaendeleo katika wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Jonathan Katana ametoa wito kwa serikali ya Kaunti ya Kilifi, kukamilisha mradi wa maji eneo la Ramada – Kaoyeni kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa mwanaharakati huyo ni kuwa ukosefu wa maji katika eneo hilo, umeendelea kuathiri shughuli za masomo katika

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA BARABARA ENEO LA RAMADA – KAOYENI Read More »