LIGI YA FKF MAGHARINI KUREJEA RASMI WIKI MBILI ZIJAZO
Ligi mbali mbali za soka la fkf nchini Kenya zinaendelea kurejea pole pole na eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi linatarajia kuanza rasmi msimu wa 2022/2023 katika kipindi cha wiki mbili zijazo. Kwa sasa kuligana na uongozi wa ligi ya fkf tawi la Magarini ni kwamba ligi hiyo imevutia vilabu vingi vya mashinani na […]
LIGI YA FKF MAGHARINI KUREJEA RASMI WIKI MBILI ZIJAZO Read More »



