SPURS YAILAZIMISHA BRENTFORD SARE YA 2-2
Totenham Hotspers ya ligi kuu nchini Uingereza imerejea katika kipute cha ligi hiyo jioni ya leo katika mechi ya mapema na kupiga sare ya mabao 2-2 dhidi ya wananyuki Brentford. Kiungo wa ujerumani Vitally Janelt ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwaweka mbele Brentford kabla ya Toney Ivan kuingia kimyani kwa goli la pili. Hata hivyo nahodha […]
SPURS YAILAZIMISHA BRENTFORD SARE YA 2-2 Read More »


