GAVANA WA MOMBASA ATEUA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameteua baraza lake la mawaziri. Katika barua rasmi iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kuwasilishwa kwenye bunge la kaunti ya Mombasa, Gavana Nassir ameteua baraza lake la mawaziri 10 huku akimteua naibu wake Francis Thoya kama waziri wa mazingira. Daktari Mbwarali Kame Mborali ameteuliwa kuwa waziri wa […]
GAVANA WA MOMBASA ATEUA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI Read More »



