PAUL KATANA AITAKA TUME YA POLISI NCHINI KUWAHAMISHA BAADHI YA MAAFISA WA POLISI WALIOHUDUMU KWA MIAKA MINGI ENEO LA KALOLENI
Mbunge wa Kaloleni kaunti ya Kilifi Paul Katana ameitaka tume ya huduma za polisi nchini kuwahamisha baadhi ya maafisa wa polisi ambao wamehudumu kwa miaka mingi katika eneo bunge hilo la Kaloleni. Kulingana na Katana uhasama ambao umekuwa ukidhiirika kati ya maafisa wa polisi na wenyeji umechangiwa na maafisa hao. Kutokana na hilo sasa ameahidi […]



