MASHABIKI WA MALINDI WAMEANZA KUSTAARABIKA – BERNARD LUSI
Nahodha wa klabu ya Malindi Progressive Bernard Lusi ameeleza kufurahishwa na mashabiki wa malindi kwa kuonyesha ustaarabu kwenye mechi kwa sasa tofauti na zamani ambapo katika mechi za dabi za eneo bunge la malindi kumekuwa kukishuhudiwa vurugu. Alikuwa akiyasema hayo baada ya mechi ya jana ambapo Malindi Progressive walipoteza kwa kichapo cha mabao 2-1 ugenini […]
MASHABIKI WA MALINDI WAMEANZA KUSTAARABIKA – BERNARD LUSI Read More »



