Janet Mumbi

SERIKALI NA MASHIRIKA MBALIMBALI YATAKIWA KUSAIDIA KATIKA KUTOA CHAKULA CHA MSAADA KAUNTI YA TANA RIVER

Mkurugenzi wa shirika la Msalaba mwekundu kaunti ya Tana River Gerald Bombe ametoa wito kwa mashirika mbalimbali pamoja na serikali kusaidia katika kutoa chakula cha msaada kwa wananchi ambao wanaendelea kuathirika na baa la njaa nchini. Bombe amesema zaidi ya wenyeji laki moja katika kaunti ya Tana River waliathirika na baa la njaa kufikia mwishoni […]

SERIKALI NA MASHIRIKA MBALIMBALI YATAKIWA KUSAIDIA KATIKA KUTOA CHAKULA CHA MSAADA KAUNTI YA TANA RIVER Read More »

LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI

Mwekahazina wa shirikisho la soka la FKF tawi la eneo bunge la Malindi Jonson Mwabati amehakikishia vilabu vya mashinani kwamba masimu mpya wa ligi hiyo utaanza rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa Januari. Akizungumza na tama la spoti jana katika uwanja wa shule ya upili ya wavulana ya Malindi alisema kwamba kwa sasa vilabu vingi

LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI Read More »

TUNALENGA KUJENGA KIWANJA CHA HADHI KILIFI – DAMA MASHA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kukiboresha kiwanja cha michezo cha Water mjini Kilifi ili kuimarisha sekta  ya michezo. Kulingana wa warizi wa jinsia na michezo kaunti ya Kilifi Ruth Dama Masha kaunti ya kilifi haina viwanja ambavyo vina hadhi ya kitaifa hali ambayo inawafanya vijana wengi wanakosa nafasi ya kuinua vipaji vyao . Waziri

TUNALENGA KUJENGA KIWANJA CHA HADHI KILIFI – DAMA MASHA Read More »