VIONGOZI WA KILIFI WASHAURIWA KUJENGA VIWANJA
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Malindi Progressive Elly Katana anasema ukosefu wa viwanja katika kaunti ya Kilifi ni changamoto kubwa inayokumba sekta ya michezo. Akizungumza na Tama La spoti mjini malindi Elly Katana amehoji kwamba kwa sasa viwanja vingi vinamilikiwa na watu binafsi jambo ambalo linakatisha tamaa wachezaji pindi tu wamiliki wa viwanja hivyo wanapovichukua. […]
VIONGOZI WA KILIFI WASHAURIWA KUJENGA VIWANJA Read More »



