Paps Mkare

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA

Klabu ya Arsenal imebashiriwa kushinda ligi ya msimu huu wa mwaka 2022/2023 na Supercomputer za kampuni ya FiveThirtyEight. Hii ni baada ya mabingwa watetezi Manchester City kupoteza mechi yao ya ligi wikendi ilopita dhidi ya Manchester United kwa kichapo cha mabao 2-1 huku viongozi wa ligi hiyo Arsenal kushinda mechi yao dhidi ya Tottenham Hotspers […]

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA Read More »

VURUGU MICHEZONI NI TISHIO KWA MADHAMINI MAGARINI

Naibu mwenyekiti wa shirikisho la soka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi mwite Katana Shilingi anasema utovu wa nidhamu miongoni mwa mashabiki lakini pia wachezaji ni changamoto kubwa inayokumba sekta hiyo mashinani. Kiongozi huyo amehoji kuwa uwepo wa vurugu la mara kwa mara wakati wa mechi unafukuza wadhamini ambao huenda wangesaidia katika makuzi ya

VURUGU MICHEZONI NI TISHIO KWA MADHAMINI MAGARINI Read More »