JAMII WA WABAJUNI KAUNTI YA MOMBASA WAMPONGEZA GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR
Siku chache baada ya gavana wa kaunti ya Mombasa Abdhulswamad Shariff Nassir kutangaza baraza lake la mawaziri, jamii ya wabajuni katika kaunti hiyo imempongeza Gavana huyo kwa kumteua Daktari Mbwarali Kame Mborali kama waziri wa elimu wa elimu na masuala ya kidigitali. Wakiongozwa na mzee wa jamii hiyo kaunti ya Mombasa Omar Shariff, wanasema wako […]
JAMII WA WABAJUNI KAUNTI YA MOMBASA WAMPONGEZA GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR Read More »



