Paps Mkare

FKF KUPEANA MAFUNZO YA SOKA KWALE KABLA MSIMU MPYA KUANZA

Hamisi Mwakoja ambaye ni mwenyekiti wa shirikisho la soka kaunti ya Kwale anasema ligi ya kaunti hiyo itaanza rasmi mwezi February mwaka huu katika msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa sasa matayarisho ya msimu huo yanaendelea na shirikisho la soka linalenga kufanya kikao na wakuu wa vilabu tarehe 26 mwezi huu ili kupanga mikakati ya kuendesha […]

FKF KUPEANA MAFUNZO YA SOKA KWALE KABLA MSIMU MPYA KUANZA Read More »

MAAFISA WA HAZINA YA NG-CDF ENEO LA LUNGA LUNGA KAUNTI YA KWALE WAONYWA

Mbunge wa LungaLunga kaunti ya Kwale Mangale Munga Chiforomodo amewataka maafisa wa hazina ya ustawi wa maeneo bunge NG-CDF kutojihusisha na ufisadi wakati wa utoaji fedha za basari kwa wanafunzi wanaolengwa. Akizungumza eneo la Dzombo kwenye eneo bunge hilo wakati wa uzinduzi wa basari, Chiforomodo amesema maafisa ambao huitisha hongo kutoka kwa wazazi kabla ya

MAAFISA WA HAZINA YA NG-CDF ENEO LA LUNGA LUNGA KAUNTI YA KWALE WAONYWA Read More »