MCHUNGAJI SAMWEL MATIKO ATILIA SHAKA TAKWIMU KUTOKA SHIRIKA LA KITAIFA LA UTAFITI
Mchungaji wa kanisa la Ocean Assemblies mjini Malindi kaunti ya Kilifi Samuel Matiko, ametilia shaka takwimu za shirika la utafiti la KENYA BUREAU OF STATISCS, kuhusiana na ongezeko la idadi ya watu wanaoshiriki ngono nje ya ndoa. Akizungumza na mwanahabari wetu mchungaji huyo amesema kuwa licha ya kuwepo kwa visa hivyo, huenda ikawa utafiti huo […]
MCHUNGAJI SAMWEL MATIKO ATILIA SHAKA TAKWIMU KUTOKA SHIRIKA LA KITAIFA LA UTAFITI Read More »



