Paps Mkare

ADEBAYOR AMSIFIA MATASI BAADA YA KUONA MECHI

Fowadi wa zamani wa klabu ya Arsenal lakini pia Manchester City Emmanuel Adebayor ambaye yupo nchini kwa ziara ya kibiashara amepongeza hatua zilizochukuliwa na serikali ya kenya kurudisha ushwari wa soka hapa nchini muda mchache baada ya marufuku ya soka kuondolewa na shirikisho la soka Fifa. Alikuwepo uwanjani jana kushughudia mechi ya Tusker dhidi Talanta

ADEBAYOR AMSIFIA MATASI BAADA YA KUONA MECHI Read More »

UKOSEFU WA MAJI SAFI KWA MUDA MREFU WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA KINANGO

Wakaazi wa Kinango kaunti ya Kwale wamelalamikia ukosefu wa maji safi kwa muda wa miezi mitano mtawalia. Wakaazi hao wakiongozwa na Hamisi Mzungu wamewakosoa wasimamizi wa bodi ya usambazaji maji pwani sambamba na kampuni ya usambazaji maji kaunti hiyo ya Kwale Kwawasco. Wamesema wanapaswa kutafutiwa mwafaka wa haraka wakieleza kusikitishwa na swala kuwa chemchemi ya

UKOSEFU WA MAJI SAFI KWA MUDA MREFU WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA KINANGO Read More »