Janet Mumbi

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KCSE KUTANGAZWA LEO

Waziri wa elimu nchini Ezekiel Machogu anatarajiwa leo kutangaza rasmi matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE. Kulingana na taarifa hafla ya kuyatangaza matokeo hayo imeratibiwa kuanza mwendo huu wa saa mbili asubuhi katika makao makuu ya baraza la kitaifa la mitihani KNEC jijini Nairobi. Zoezi la kusahisisha ilitamatika wiki jana baada […]

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KCSE KUTANGAZWA LEO Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WATU WA KWALE KUTOKUTENGANA KWA MISINGI YA DINI

Kiongozi wa vijana katika kaunti ya Kwale, Hafswa Mohamed amesisitiza haja ya wakaazi kujumuika na kushirikiana pasipo kutengana kwa misingi ya kidini. Hafswa amesema baadhi ya dhana potovu zilizopo katika dini huchangia mgawanyiko baina ya wakaazi kwani kupitia dhana hizo utengano hudhihirika miongoni mwa wanajamii. Kiongozi huyo amesema kuwa viongozi wa dini pia wanapaswa kuwa

HIMIZO LATOLEWA KWA WATU WA KWALE KUTOKUTENGANA KWA MISINGI YA DINI Read More »

MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR

Bodi ya kimataifa ya chama cha soka ya IFAB inayohusika na sheria za kandanda imependekeza kuwepo kwa mawasiliano kwenye viwanja kuhusu uamuzi wa video ili mashabiki wajue kinachojadiliwa na maafisa wa VAR kabla maamuzi kufanyika wakati wa mechi. Hii inatokana na sintofahamu miongoni mwa mashabiki kila ambapo matukio mbali mbali yanatokea na mwamuzi pekee ndiye

MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR Read More »