JOHN MTUTTA MRUTTU APINGA MADAI KUWA ALIFELI WAKATI WA UONGOZI WAKE KAMA GAVANA WA TAITA TAVETA
Aliyekuwa gavana wa kwanza katika kaunti ya Taita Taveta John Mtutta Mruttu amepinga madai kuwa serikali ya kaunti ya Taita Taveta wakati wa uongozi wake ilifeli katika zoezi la ukusanyaji wa ushuru katika masoko yaliyomo mpakani mwa kaunti hiyo ya Taita Taveta na kaunti nyinginezo. Mruttu amesema utata wa mipaka baina ya kaunti ya Taita […]



