Janet Mumbi

WITO WATOLEWA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KIKIWEZESHA KIFEDHA KITUO CHA KUSAMBAZA MAJI YA KAMBICHA

Afisa msimamizi wa kituo cha usambazaji maji cha Kambicha, Magarini kaunti ya Kilifi Rajab Kazungu amesisitiza haja ya serikali ya kaunti ya Kilifi kukiwezesha kifedha kituo hicho. Kazungu amesema kuwa hatua hiyo itawawezesha kugharamia ada za nguvu za umeme sawia na kulipa wafanyikazi kwenye kituo hicho mbali na kuboresha huduma za usambazaji maji katika eneo […]

WITO WATOLEWA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KIKIWEZESHA KIFEDHA KITUO CHA KUSAMBAZA MAJI YA KAMBICHA Read More »

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI

Ukosefu wa fedha za kuendesha shuhuli za michezo katika klabu ndio sababu kuu inayochangia klabu ya kinadada ya Malindi Starlets kusalia katika ligi ya mkoani kwa misimu miwili mfululizo bila kupanda. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo katika uwanja wao wa mazoezi wa Alaskan mjini Malindi, Neema Charo ambaye ni mkufunzi wa kinadada

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI Read More »