BADI TWALIB AIPONGEZA SERIKALI KUU
Mbunge wa Jomvu kaunti ya Mombasa Badi Twalib ameipongeza serikali kuu kupitia wizara ya uchukuzi, kwa kuweka saini mkataba wa ujenzi wa barabara kuu ya Jomvu Mariakani. Kulingana na Badi ni kuwa huenda ujenzi wa barabara hiyo ukaanza kutekelezwa hivi karibuni, jambo ambalo litasaidia kurahisisha shughuli za usafiri na maendeleo ya jamii eneo bunge hilo. […]
BADI TWALIB AIPONGEZA SERIKALI KUU Read More »



