WANAMVINYO WAREJEA KILELENI
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini kenya Tusker FC wamerejea katika nafasi ya kwanza katika jedwali baada ya jana kuitandika Sofapaka kichapo cha bao 1-0 katika uwanja wa Kasarani katika jiji kuu la Nairobi. Bao la Ibrahim Joshua katika dakika ya 26 ndilo lilotosha kuwapa ushindi vijana hao wa mkufunzi Robert Matano. Awali mkufunzi Matano […]
WANAMVINYO WAREJEA KILELENI Read More »


