Janet Mumbi

KATIBU WA KUPPET KAUNTI YA KILIFI AMTAJA MAGOHA KAMA KIONGOZI ALIYEIMARISHA SEKTA YA ELIMU

Katibu wa muungano wa   walimu KUPPET kaunti ya KIlifi, Risper Awinja amemtaja aliyekuwa Waziri wa elimu nchini Prof. George Magoha kama kiongozi ambaye alichangia kwa asilimia kubwa kuboresha sekta ya elimu nchini. Risper ambaye ameeleza kusikitishwa na Kifo cha Magoha ambacho kilitokea jana Jioni kutokana na kile kinachosemekana kusababishwa na Mshtuko wa moyo, amesema Magoha […]

KATIBU WA KUPPET KAUNTI YA KILIFI AMTAJA MAGOHA KAMA KIONGOZI ALIYEIMARISHA SEKTA YA ELIMU Read More »