SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA
Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kujenga kiwanja cha kimataifa kama njia moja ya kuwezesha talanta na michezo mashinani. Naibu gavana wa kaunti hii Florence Chibule akiwa katika mahojiano na mwanahabari wetu hapa Lulu Fm amethibitisha kwamba serikali inayoongozwa na gavana Gideon Maitha Mungaro inalenga kuanza mradi wa ujenzi wa kiwanja cha kisasa kama njia […]
SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA Read More »



