Janet Mumbi

GAVANA ACHANI AZINDUA RASMI UJENZI WA MRADI WA MASHINE YA KUCHUJA MAJI

Gavana wa kaunti ya kwale Fatuma Achani amezindua rasmi ujenzi wa mradi wa mashini ya kuchuja maji katika hospitali ya rufaa ya Msambweni. Mradi huo unatarajiwa kuzalisha  zaidi ya lita 5000 za maji yanayochujwa kwa kila saa moja, maji ambayo yanatarajiwa kusaidia kuendesha shughuli za hospitali hiyo bila kukwama. Vitengo ambavyo vinatarajiwa kunufaika na matumizi […]

GAVANA ACHANI AZINDUA RASMI UJENZI WA MRADI WA MASHINE YA KUCHUJA MAJI Read More »

HARAKATI ZA KUHAMISHA KICHINJIO CHA MALINDI ZINAENDELEZWA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inaendeleza mpango wa kuhamisha sehemu ya kichinjio  mjini Malindi, kutokana na hatua ya wanajamii eneo hilo kulalamikia uharibifu wa mazingira katika sehemu hiyo. Kwa mujibu wa baadhi ya viongozi katika eneo bunge la Malindi wamepongeza hatua hiyo huku wakipendekeza sehemu hiyo, sasa kukabidhiwa rasmi wafanyabiashara wa Juakali, ili kuwapa nafasi

HARAKATI ZA KUHAMISHA KICHINJIO CHA MALINDI ZINAENDELEZWA Read More »