Paps Mkare

SERIKALI KUU YATAKIWA KUFIKISHA FEDHA ZA KUFANIKISHA MASOMO YA CBC

Mwenyekiti muungano wa walimu  KNUT tawi la kilindini kaunti ya Mombasa Ahmed Kombo Ahmed amesema kuna haja ya serikali kufikisha fedha za kufanikisha masomo ya mfumo mpya wa elimu wa umilisi CBC kwa haraka ili kuhakikisha shule zinafikia malengo. Kombo ametaja kuwa shule nyingi za kibinafsi ndizo zilizofikia vigezo vilivyowekwa na serikali kwa mujibu wa

SERIKALI KUU YATAKIWA KUFIKISHA FEDHA ZA KUFANIKISHA MASOMO YA CBC Read More »

FAMILIA YA RITA PILI MWANAFUNZI KUTOKA KASUFINI YAHOFIA HUENDA AKAKOSA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA

Familia moja eneo la Kasufini, Shella, kaunti ndogo ya Malindi kaunti ya Kilifi inahofia kuwa huenda mwana wao akakosa kutimiza ndoto zake za kujiendeleza kimasomo kutokana na hali ya uchochole unayowakumba. Wakiongozwa na Mapenzi Katana wanafamilia hao wamesema kuwa hawana uwezo wa kumfikisha msichana wao katika shule ya upili aliyoitwa ya Lirhanda kule kaunti ya

FAMILIA YA RITA PILI MWANAFUNZI KUTOKA KASUFINI YAHOFIA HUENDA AKAKOSA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA Read More »