SIJAKATA TAMAA YAKUWA MKUFUNZI BORA – ROONEY
Msambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney amesema kwamba hajakata tamaa kwenye azma ya kuwa mkufunzi bora zaidi ulimweguni. Amesema haya kwenye mahojiano na Sky Sport siku chache baada ya kupigwa kalamu na timu ya Birmingham city ya daraja la pili ya Uingereza ambapo alikua mkufunzi wa timu hiyo kwa siku 83 […]
SIJAKATA TAMAA YAKUWA MKUFUNZI BORA – ROONEY Read More »



